Hii Ndio App Ya Kisasa Ambayo Hufai Kukosa Katika Simu Yako

Simu za kisasa zimekua zikizidi kurahisisha kazi na maisha kila uchao. Moja ya vitu ambavyo vimekua vikiwezesha urahisi wa maisha kupitia simu za kisasa ni ‘apps’. Kwa mfano, app ya uber ambayo imerahisisha katika usafiri. Na sasa kuna app mpya ambayo ilivumbuliwa na Michelle Kariuki, mwanadada ambaye ana miaka 18 tu. App hio ambayo inawekwa kama app nambari 4 duniani kwa sasa inarahisisha maisha kwa sana. Ni app ambayo inawezesha kupata kile utakacho kwa urahisi. Nikohub inaweza mtumiiazi kuletewa chakula, nguo, movie, vipodozi, vinywaji mlangoni kwake. Ni app ambayo inajumuisha mauzaji wa bidhaa na huduma kadhaa kutoka maeneno mbalimbali hapa nchini. Watumiiaji wa Nikohub pia wanaweza ku,share picha kile walichoweza kukipata kupitia app hio kwa watumiaji wengine. Pengine ni huduma flani unatafuta na hujui utaipataje, Nikohub inakurahisishia kwani kulingana na mahala ulipo, utapewa options kadhaa wa jina na umbali wa kutoka ulipo hadi unapoweza kupata huduma hio kupitia simu yako tu. Isitoshe, kila wakati mtumiaji wa app hio anapoitumia kununua bidhaa au huduma, anapata points ambazo ataweza kuzitumia kupata discount katika ununuzi wake baadae. Kupata app hio babkubwa.


Download Here

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s